• HABARI MPYA

    Monday, November 13, 2017

    RASHFORD AKIJIFUA KUFUNGA KWA MIPIRA YA ADHABU

    Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akifanya mazoezi ya kupiga mipira ya adhabu katika Uwanja wa kituo cha Chama cha Soka England wakati wa mazoezi ya timu ya taifa jana kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Brazil kesho Uwanja wa Wembley PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RASHFORD AKIJIFUA KUFUNGA KWA MIPIRA YA ADHABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top