• HABARI MPYA

    Sunday, November 19, 2017

    RAMOS 'ANG'OLEWA' PUA REAL MADRID NA ATLETICO ZIKITOKA 0-0

    Beki tegemeo wa Real Madrid, Sergio Ramos akitoka nje kumpisha Nacho baada ya kushindwa kuendelea na mchezo dakika ya 46 kutokana na kuvunjika pua kufuatia kugongana na mchezaji wa Atletico Madrid, Lucas Hernandez katika mchezo wa La Liga wa mahasimu wa Jiji la Madrid usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano uliomalizika kwa sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RAMOS 'ANG'OLEWA' PUA REAL MADRID NA ATLETICO ZIKITOKA 0-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top