• HABARI MPYA

  Wednesday, November 15, 2017

  RAMOS AFUNGA PENALTI MBILI HISPANIA SARE 3-3 NA URUSI

  Sergio Ramos akifurahia na wenzake baada ya kufunga mabao mawili kwa penalti dakika za 35 na 53 Hispania wakitoa sare ya 3-3 na wenyeji, Urusi usiku wa jana Uwanja wa Krestovskyi mjini St. Petersburg katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao lingine la Hispania lilifungwa na Jordi Alba dakika ya tisa, wakati ya Urusi yalifungwa na Fedor Smolov dakika ya 41 na 70 na Aleksey Miranchuk dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAMOS AFUNGA PENALTI MBILI HISPANIA SARE 3-3 NA URUSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top