• HABARI MPYA

  Thursday, November 16, 2017

  PERU YAKAMILISHA IDADI YA TIMU ZA KOMBE LA DUNIA 2018 URUSI

  Jefferson Farfan akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Peru dakika ya 28 Uwanja wa Taifa mjini Lima katika ushindi wa 2-0 dhidi ya New Zealand kwenye mchezo wa marudiano wa mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi kwa Amerika Kusini. Bao la pili lilifungwa na Christian Ramos na sasa Peru inakamilisha idadi ya timu 32 zitakazoshiriki Kombe la Dunia mwakani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PERU YAKAMILISHA IDADI YA TIMU ZA KOMBE LA DUNIA 2018 URUSI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top