• HABARI MPYA

  Sunday, November 19, 2017

  PEDEZYEE NDAMA HAKUAMINI KAMA MBEYA CITY KAFA 5-0

  Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Shaaban Hussein 'Ndama Mtoto wa Ng'ombe' (kushoto) akiwa na kigogo mwingine wa klabu hiyo, Majjid Suleiman wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Mbeya City Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 5-0 

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PEDEZYEE NDAMA HAKUAMINI KAMA MBEYA CITY KAFA 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top