• HABARI MPYA

  Thursday, November 16, 2017

  NI HUZUNI NA VILIO SAFARI YA MWISHO YA NDIKUMANA

  Wachezaji wa klabu ya Rayon Sports akiwemo Ismailla Diarra (kushoto) na Tidiane Kone (kulia), wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Kocha wao Msaidizi, Hamadi Ndikumana 'Katauti (picha ndogo juu kushoto) jana nyumbani kwake, eneo la Nyakabanda kwenda msikiti wa Qaddafi uliopo Nyamirambo, kabla ya mazishi yaliyofanyika jana. PICHA NA TIMOTH KISAMBIR (NEW TIMES/RWANDA)
  Mzee Ndikumana, baba wa Hamad Ndikumana, mchezaji na Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Rwanda, akilia kwa uchungu wa kumpoteza mwanawe
  Mama wa marehemu naye akilia kwa uchungu wakati mwili wa mwanawe unaondoka 
  Nyumbani kwa marehemu ndugu na jamaa wakiwa wenye wenye majonzi 
  Ndugu na jamaa wakiwa wenye wenye majonzi nyumbani kwa marehemu
  Watoto wadogo pia walihudhuria mazishi ya mume wa zamani wa mcheza filamu wa Tanzania, Irene Uwoya
  Waombolezaji wakilia kwenye msiba wa Katauti aliyewahi kucheza soka ya kulipwa Ubeligiji na Cyprus 
  Ilikuwa ni huzuni kwa wengi miongoni mwa waombolezaji waliojitokeza 
  Waziri wa Nchi wa Elimu ya Msingi na Sekondari, Isaac Munyakazi alikuwepo pia Nyakabanda kutoa heshima zake za mwisho
  Hapa watu wanakwenda kuzika. Buriani Hamadi Ndikumana 'Katauti'
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI HUZUNI NA VILIO SAFARI YA MWISHO YA NDIKUMANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top