• HABARI MPYA

    Monday, November 20, 2017

    MASHABIKI YANGA KWA RAHA ZAO JANA UHURU

    Mashabiki wa Yanga wakifurahia jana Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam timu yao ikicheza na Mbeya City FC na kuibuka na ushindi wa 5-0  
    Shabiki huyu akitoa maelekezo kwa wachezaji wake mwanzoni mwa mchezo kabla mvua ya mabao haijaanza kuwanyeshea Mbeya City
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHABIKI YANGA KWA RAHA ZAO JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top