• HABARI MPYA

    Saturday, November 18, 2017

    MAN CITY YASHINDA MECHI YA 10 MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND

    Kiungo Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester City dakika ya 49 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Kings Power. Bao la kwanza katika ushindi huo wa 10 mfululizo wa Man City Ligi Kuu limefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YASHINDA MECHI YA 10 MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top