• HABARI MPYA

    Saturday, November 18, 2017

    LUKAKU AFUNGA LA NNE MANCHESTER UNITED YASHINDA 4-1

    Mshambuliaji Romelu Lukaku akirukiwa na mchezaji mwenzake, Antonio Valencia baada ya kuifungia Manchester United bao la nne dakika ya 70 ikiwalaza 4-1 Newcastle United leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Anthony Martial dakika ya 37, Chris Smalling dakika ya 45 na Paul Pogba dakika ya 54, wakati bao pekee la Newcastle limefungwa na Dwight Gayle dakika ya 14 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LUKAKU AFUNGA LA NNE MANCHESTER UNITED YASHINDA 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top