• HABARI MPYA

    Tuesday, November 21, 2017

    LIVERPOOL WAKIJIANDAA KUIVAA SEVILLA LIGI YA MABINGWA LEO

    Mohamed Salah (wa pili kulia) akifurahia na wenzake mazoezini jana wakati Liverpool ikijiandaa na mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji, Sevilla Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla leo usiku PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL WAKIJIANDAA KUIVAA SEVILLA LIGI YA MABINGWA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top