• HABARI MPYA

    Sunday, November 19, 2017

    LEWANDOWSKI AFUNGA MAWILI BAYERN MUNICH YASHINDA 3-0

    Robert Lewandowski akishanguilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 38 na 49 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Augsburg jana kwenye mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena mjinio Munich, bao la kwanza likifungwa na Arturo Vidal dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LEWANDOWSKI AFUNGA MAWILI BAYERN MUNICH YASHINDA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top