Nahodha wa Inter Milan, Mauro Icardi akishangilia baada ya kuifungua mabao yote mawili timu yake dakika za 51 na 60 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Atalanta kwenye mechi ya Serie A jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment