• HABARI MPYA

    Sunday, November 19, 2017

    HAZARD ALIVYONG'ARA CHELSEA IKIUA 4-0 JANA THE HAWTHORNS

    Mshambuliaji Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao mawili dakika za 23 na 62 jana katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa The Hawthorns, West Bromwich. Mabao mengine ya The Blues yalifungwa na Alvaro Morata dakika ya 17 na Marcos Alonso dakika ya 38 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAZARD ALIVYONG'ARA CHELSEA IKIUA 4-0 JANA THE HAWTHORNS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top