• HABARI MPYA

    Sunday, November 12, 2017

    HAJJI MANARA 'ANAVYOKULA BATA' NA TAJIRI MUSLEY OMAN

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Simba, Hajji Sunday Manara (kushoto) ameposti picha hii kwenye ukurasa wake instagram kiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Muslah 'Musley' Al-Ruwaih (kulia) kwenye Rasi ya Pwani ya Jijii la Muscat, Oman 
    Hajji Manara pia ameposti picha hii akiwa na familia ya mfadhili wa zamani wa Simba, Shekh Saleh Al-Rawaih, wanawe, Munir, Muthir, Musley, Munir na Murshid
    Hapa ni wakati Hajji aliupokuwa kwenye ndege anakwenda Oman 
    Hapa ni wakati akiwa safarini amevaa nyeusi tupu kasoro begi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAJJI MANARA 'ANAVYOKULA BATA' NA TAJIRI MUSLEY OMAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top