• HABARI MPYA

    Sunday, November 19, 2017

    FRAMPTON AKALISHWA RAUNDI YA SABA, LAKIN ASHINDA

    Carl Frampton wa Ireland Kaskazini (kulia) akimchapa ngumi mpinzani wake, Horacio Garcia wa Mexico (kushoto) katika pambano la uzito wa Feather lisilo la ubingwa usiku wa jana ukumbi wa SSE Arena mjini Belfast. Frampton alishinda kwa pointi ingawa alikalishwa na mpinzani wake raundi ya saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FRAMPTON AKALISHWA RAUNDI YA SABA, LAKIN ASHINDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top