• HABARI MPYA

  Sunday, November 19, 2017

  CAVANI AENDELEZA MOTO WA MABAO PSG IKIITANDIKA 4-1 NANTES

  Mshambuliaji wa Paris St Germain, Edinson Cavani akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 38 na 79 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Nantes jana kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Parc des Princess mjini Paris. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Angel Di Maria dakika ya 42 na Javier Pastore dakika ya 65, wakati la Nantes lilifungwa na Prejuce Niguimbe Nakoulma dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAVANI AENDELEZA MOTO WA MABAO PSG IKIITANDIKA 4-1 NANTES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top