• HABARI MPYA

    Tuesday, November 14, 2017

    AZAM FC MAZOEZINI WAKIJIANDAA NA NJOMBE MJI

    Kungo Ramadhani Singano 'Messi' akiruka kupiga mpira kwa kichwa katika mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja mdogo Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kujianda na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji jumamosi 
    Beki Aggrey Morris akikimbia kwenye mazoezi hayo jana
    Kiungo Frank Domayo akifurahia wakati wa mazoezi hayo jana 
    Makipa Mwadini Ali na Benedit Haule (mbele) wakiwa mazoezini
    Kocha Mromania Aristica Cioaba akiwaonyesha kitu kwa ishara wachezaji

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC MAZOEZINI WAKIJIANDAA NA NJOMBE MJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top