• HABARI MPYA

    Saturday, November 18, 2017

    AZAM FC MAZOEZINI JANA NJOMBE KUJIANDAA NA MECHI YA KESHO

    Kocha wa Azam FC, Aristica Cioaba akifundisha kwa mifano wakati wa mazoezi ya timu yake jana mjini Njombe kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Njombe Mji FC Uwanja wa Aaba Saba 
    Mshambuliaji chipukizi, Mbaraka Yusuph akimiliki mpira wakati wa mazoezi hayo
    Kiungo Mghana, Enock Atta-Agyei akimiliki mpira wakati wa mazoezi
    Kiungo Frank Domayo akimiliki mpira wakati wa mazoezi hayo 
    Beki David Mwantika akimiliki mpira wakati wa mazoezi hayo 
    Wachezaji wa muda mrefu wa Azam, beki Aggrey Morris (kushoto) na kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC MAZOEZINI JANA NJOMBE KUJIANDAA NA MECHI YA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top