• HABARI MPYA

    Sunday, November 12, 2017

    ANTHONY JOSHUA NA JOHN TERRY MAPUMZIKONI DUBAI

    Bondia Anthony Joshua (kushoto) akiwa na beki wa zamani wa Chelsea, John Terry ufukweni nchini Dubai pamoja na mtoto wa mchezaji huyo wa Aston Villa kwa sasa. Wanamichezo hao wa Uingereza wapo katika mapumziko mafupi Dubai PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ANTHONY JOSHUA NA JOHN TERRY MAPUMZIKONI DUBAI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top