• HABARI MPYA

    Sunday, October 15, 2017

    YANGA NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA KAITABA

    Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa (katikati) akimtoka beki wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Yanga ilishinda 2-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    Mfungaji wa bao la pili la Yanga, Ibrahim Hajib (katikati) akishangilia baada ya kuwainua kwa shangwe mashabiki wa timu yake
    Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya (kulia) akimiliki mpira dhidi ya beki wa Kagera Sugar
    Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga jana, Obreu Chirwa 
    Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Kaitaba
    Kikosi cha Kagera Sugar jana Uwanja wa Kaitaba
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top