• HABARI MPYA

    Sunday, October 15, 2017

    VIONGOZI NA MASHABIKI SIMBA WALIVYOKUWA WATULIVU LEO UHURU

    Kaimu Mwenyekiti wa Simba, Salum Abdallah 'Try Again' (kushoto) akiwa na wadau wengine wa klabu hiyo jioni ya leo wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa sare ya 1-1 Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
    Kulia aliyesimama ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Said Tuliy akishukuru baada ya Simba kupata bao la kusawazisha dakika ya 90
    Msemaji wa Simba, Hajji Manara akiwa haamini macho yake baada ya Emmanuel Okwi kuisawazishia Simba dakika ya mwisho
    Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hans Poppe (kushoto), Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Musley Ruweih (katikati) na Msemaji, Hajji Manara (kulia) 
    Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo wa leo Uwanja wa Uhuru

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIONGOZI NA MASHABIKI SIMBA WALIVYOKUWA WATULIVU LEO UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top