• HABARI MPYA

    Sunday, October 15, 2017

    SUAREZ AINUSURU BARCA KUPIGWA NA ATLETICO, SARE 1-1 MADRID

    Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawazisha dakika ya 82 ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Atletico Madrid walioangulia kwa bao la Saul Niguez dakika ya 21 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa  Wanda Metropolitano mjini Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SUAREZ AINUSURU BARCA KUPIGWA NA ATLETICO, SARE 1-1 MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top