• HABARI MPYA

    Monday, October 16, 2017

    SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UHURU

    Viungo Shaaban Nditi wa Mtibwa Sugar (kulia) na Haruna Niyonzima wa Simba kushoto wakipambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam timu zikitoa sare ya 1-1 
    Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mtibwa Sugar jana
    Kiungo Haruna Niyonzima akiwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar jana
    Beki wa Simba Erasto Nyoni (kulia) akijibidiisha kumpita kiungo wa Mtibwa Sugar, Hassan Dilunga
    Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar Stahmili Mbonde katikati ya wachezaji wa Simba
    Kiungo wa Simba, Said Ndemla akiwaacha wachezaji wa Mtibwa Sugar
    Kocha Mcameroon wa Simba, Joseph Marius Omog akitafakari katika mchezo wa jana wakati timu yake ipo nyuma kwa bao 1-0 
    Mshambuliaji Emmanuel Okwi (wa pili kushoto) akimshauri jambo kiungo Jonas Mkude katika jitihada za kuhakikisha wanakomboa bao. Wengine kulia ni kiungo Haruna Niyonzima anayekunywa maji na Kocha Msaidizi, Jackson Mayanja 
    Kikosi cha Mtibwa Sugar kilichoanza jana Uwanja wa Uhuru
    Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana Uwanja wa Uhuru
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top