• HABARI MPYA

    Wednesday, October 18, 2017

    SIMBA SC MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA NJOMBE MJI

    Kipa wa Simba, Aishi Manula akiwa chini kujaribu kuokoa katika mazoezini ya timu hiyo leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji FC Jumamosi 
    Kiungo Haruna Niyonzima (kushoto) akimpita beki mazoezini leo
    Mshambuliaji Laudit Mavugo (kushoto) akiwa mazoezini leo
    Kiungo Said Ndemla (kushoto) akiondoka na mpira
    Kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog (kushoto) akiongoza mazoezi leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC MAZOEZINI LEO UWANJA WA UHURU KUJIANDAA NA NJOMBE MJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top