• HABARI MPYA

    Sunday, October 15, 2017

    SALVATORY EDWARD ‘DOCTOR’ WA MPIRA ENZI ZAKE TAIFA STARS

    Kiungo wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Salvatory ‘Doctor’ Edward (kulia) akipambana na Freddy Mwila wa Zambia katika mchezo wa kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1996 uliofanyika Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SALVATORY EDWARD ‘DOCTOR’ WA MPIRA ENZI ZAKE TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top