• HABARI MPYA

    Sunday, October 15, 2017

    SAFARINI UHURU KWENDA KUMUONA OKWI AKIFANYA YAKE SIMBA

    Shabiki wa Simba SC (kushoto) akiwa kwenye pikipiki maarufu kama bodaboda barabara ya Mandela eneo la Chang'ombe, Dar es Salaam kuwahi Uwanja wa Uhuru, ambako timu yake inamenyana na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAFARINI UHURU KWENDA KUMUONA OKWI AKIFANYA YAKE SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top