• HABARI MPYA

    Monday, October 16, 2017

    ROONEY AISAWAZISHIA EVERTON KWA PENALTI DAKIKA YA 90

    Mshambuliaji Wayne Rooney akipiga penalti kuifungia bao la kusawazisha Everton dakika ya 90 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Brighton & Hove Albion usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliofanyika Uwanja wa The American Express Community mjini Falmer, East Sussex. Bao la Brighton lilifungwa na Anthony Knockaert dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AISAWAZISHIA EVERTON KWA PENALTI DAKIKA YA 90 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top