Wachezaji wa Manchester United wakimpongeza mwenzao, Marcus Rashford baada ya kufunga bao pekee la ushindi dakika ya 65 wakiwalaza 1-0 wenyeji, Benfica Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment