• HABARI MPYA

  Friday, October 20, 2017

  MAN UNITED WAINGIA KAMBINI TAYARI KUWAVAA HUDDERSFIELD KESHO

  Wachezaji wa Manchester United, Romelu Lukaku (katikati) na Juan Mata (kulia) wakiingia kambini katika hoteli ya Lowry leo kwa ajili ya mchezo wao wa kesho wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Huddersfield Uwanja wa John Smith PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAINGIA KAMBINI TAYARI KUWAVAA HUDDERSFIELD KESHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top