• HABARI MPYA

    Saturday, October 21, 2017

    MAN UNITED WAAMBULIA KICHAPO KWA HUDDERSFIELD

    Laurent Depoitre akipiga mpira kuifungia bao la pili Huddersfield dakika ya 33 baada ya kumzunguka kipa wa Manchester United, David De Gea Uwanja wa The John Smith, Huddersfield, West Yorkshire katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Huddersfield imeshinda 2-1, bao la kwanza likifungwa na Aaron Mooy dakika ya 28, wakati la Man United limefungwa na Marcus Rashford dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED WAAMBULIA KICHAPO KWA HUDDERSFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top