• HABARI MPYA

    Wednesday, October 18, 2017

    MAN CITY YASHINDA 2-1 DHIDI YA NAPOLI ETIHAD

    Gabriel Jesus akishangilia kwa staili yake maarufu baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 13 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Napoli ya Italia usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Etihad. Raheem Sterling alianza kuwafungia Man City dakika ya nane wakati Amadou Diawara aliifungia Napoli dakika ya 71 baada ya Fernandinho kumuangusha Faouzi Ghoulam kwenye boksi. Ederson aliokoa penalti ya Dries Mertens baada ya Kyle Walker kumshika Raul Albiol kwenye boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YASHINDA 2-1 DHIDI YA NAPOLI ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top