• HABARI MPYA

  Friday, October 20, 2017

  MAJENGO PACHA YA SIMBA NA PILIKA ZAKE MTAA WA MSIMBAZI

  Majengo pacha ya klabu ya Simba yaliyopo Mtaa wa Msimbazi mjini Dar es Salaam yanavyoonekana kwa mbele. Jengo la kushoto lipo tangu miaka ya 1970, wakati kulia ni jengo dogo lililojengwa takriban miaka 13 iliyopita 
  Upande wa pili jengo dogo linavyoonekana vizuri, ambalo ndani yake ndio kuna ofisi za viongozi na maktaba ya klabu. Majengo yote yana wapangaji walioweka biashara tofauti, ikiwemo maduka ya bidhaa mablimbali, mgahawa na ofisi za michezo ya kubahatisha   
  Majengo ya Simba yapo barabarani kabisa Mtaa wa Msimbazi 
  Jengo kuu la Simba linavyoonekana kwa juu 
  Limeezekwa na bati tu kama kibanda
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAJENGO PACHA YA SIMBA NA PILIKA ZAKE MTAA WA MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top