• HABARI MPYA

    Tuesday, October 17, 2017

    MAHREZ AFUNGA BAO LA KWANZA LA MSIMU, LEICESTER CHUPUCHUPU!

    Riyad Mahrez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la kusawazisha na la kwanza kwake msimu huu dakika ya 80 katika sare ya 1-1 na West Brom kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power mjini Leicester, Leicestershire kufuatia wageni kutangulia kwa bao la Nacer Chadli dakia ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAHREZ AFUNGA BAO LA KWANZA LA MSIMU, LEICESTER CHUPUCHUPU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top