• HABARI MPYA

  Thursday, October 19, 2017

  KOCHA MPYA MSAIDIZI SIMBA AANZA KAZI MARA MOJA

  Kocha Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Marius Omog (katikati) na Kocha wa Makipa, Muharami Mohammed 'Shilton' (kushoto) wakimuelekeza jambo Kocha mpya Msaidizi, Mrundi Masudi Juma (kulia) baada ya kuwasili mazoezini Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam leo kuanza kazi 
  Hapa Omog na Shilton wakimpa taarifa muhimu za timu Juma ambaye amewasili mchana wa leo
  Hapa Masudi Juma anasalimiana na Nahodha wa timu, Mzimbabwe, Method Mwanjali 
  Masudi Juma akipewa maelekezo kutoka kwa Kocha Mkuu, Joseph Omog  
  Hapa Masudi Juma anazungumza na kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ambaye alicheza naye Rayon

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MPYA MSAIDIZI SIMBA AANZA KAZI MARA MOJA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top