• HABARI MPYA

    Saturday, October 21, 2017

    KOBE BRYANT ALIPOKUTANA NA NEYMAR MAZOEZINI PSG

    Gwiji wa kikapu wa Los Angeles Lakers, Kobe Bryant akisalimiana na nyota wa Paris Saint-Germain, Neymar baada ya kuwatembelea kwenye Uwanja wao wa mazoezi mjini Paris, Ufaransa wakijiandaa na mchezo wao wa kesho wa Ligue 1 dhidi ya wenyeji Marseille Uwanja wa Velodrome PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOBE BRYANT ALIPOKUTANA NA NEYMAR MAZOEZINI PSG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top