• HABARI MPYA

  Monday, October 16, 2017

  KAKA AMWAGA MACHOZI AKICHEZA MECHI YA MWISHO MAREKANI

  Mwanasoka bora wa zamani wa dunia, Ricardo Izecson dos Santos 'Kaka' akibubujikwa machozi jana kabla ya mchezo wa mwisho kuichezea timu yake, Orlando City ikifungwa 1-0 na Columbus Crew katika Ligi ya Marekani, maarufu kama MLS Uwanja wa Orlando City mjini Orlando, Florida. Kaka anaondoka Orlando baada ya kuifungia mabao 24 katika mechi 73 tangu mwaka 2014 alipojiunga nayo akitokea AC Milan, baada ya kuzichezea Sao Paulo ya kwao, Brazil na Real Madrid ya Hispania, lakini hajasema kama anastaafu moja kwa moja au atakwenda kuendelea kucheza sehemu nyingine PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAKA AMWAGA MACHOZI AKICHEZA MECHI YA MWISHO MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top