• HABARI MPYA

    Thursday, October 19, 2017

    JUVENTUS YAWAGONGA 2-1 SPORTING TORINO LIGI YA MABINGWA

    Mario Mandzukic akifuatwa na Paulo Dybala kupongezwa baada ya kuifungia Juventus bao la pili dakika ya 84 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sporting CP kwenye mchezo wa Kundi D Ligi y Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao lingine la Juve lilifungwa na Miralem Pjanic dakika ya 29, kufuatia Alex Sandro kujifunga dakika ya 12 kuwapatia Sporting bao la kuongoza mapema PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JUVENTUS YAWAGONGA 2-1 SPORTING TORINO LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top