• HABARI MPYA

  Tuesday, October 17, 2017

  ITALIA YAPEWA SWEDEN MCHUJO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA


  Ratiba kamili ya mechi za mchujo za kufuzu Kombe la Dunia ambazo zitachezwa Novemba 9 hadi 14 PICHA ZAIDI GONGA HAPA  

  RATIBA MECHI ZA MCHUKO KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Ireland Kaskazini v Uswisi
  Croatia v Ugiriki
  Denmark v Republic of Ireland
  Sweden v Italia
  Mechi zitachezwa Novemba 9 hadi 14
  TIMU ya taifa ya Italia itamenyana na Sweden katika mchezo wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Urusi.
  Katika droo maalum iliyopangwa mjini Zurich, Uswisi yalipo makao makuu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Ireland ya Kaskazini itamenyana na Uswisi.
  Kikosi cha Martin O'Neill kilihofia sana kupangwa na Itali na imekuwa bahati yao wameangukia Uswisi.
  Jamhuri ya Ireland yenyewe itamenyana na Denmark, wakati Croatia itamenyana na Ugiriki. 
  Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa kati ya Novemba 9 na 11 na za marudiano Novemba 12-14, mwaka huu.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA YAPEWA SWEDEN MCHUJO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top