• HABARI MPYA

  Friday, October 20, 2017

  GIROUD AING'ARISHA ARSENAL UGENINI MICHUANO YA ULAYA

  Mshambuliaji Mfaransa, Olivier Giroud akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Arsenal dakika ya 85 baada ya kazi nzuri ya ushirikiano wa Waingereza Jack Wilshere na Theo Walcott wakiwafunga wenyeji Red Star Belgrade 1-0 katika mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa jana Uwanja wa Rajko Mitic mjini Belgrade, Serbia. Dakika 10 za mwiwho Red Star ilicheza pungufu baada ya beki wake wa kushoto, Milan Rodic kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GIROUD AING'ARISHA ARSENAL UGENINI MICHUANO YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top