• HABARI MPYA

    Wednesday, October 18, 2017

    FIRMINO AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAITANDIKA 7-0 MARIBOR

    Mshambuliaji Mbrazil, Roberto Firmino akiwa na mchezaji mwenzake Dejan Lovren wakishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za nne na 54 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Maribor Uwanja wa Ljudski vrt mjini Maribor kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah mawili pia dakika za 19 na 39,  Philippe Coutinho dakika ya 13, 86' Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 86 na Trent Alexander-Arnold dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FIRMINO AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAITANDIKA 7-0 MARIBOR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top