• HABARI MPYA

    Thursday, October 19, 2017

    BAYERN MUNICH YAENDELEA KUNG'ARA CHINI YA HEYNCKES

    Beki Mats Hummels akienda juu kumalizia mpira wa kona wa Arjen Robben kuifungia bao la tatu Bayern Munich dakika ya 51 katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Thomas Muller dakika ya 17 na Joshua Kimmich dakika ya 29 huo ukiwa mwendelezo wa matokeo mazuri tangu kurejea kwa kocha Jupp Heynckes PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAYERN MUNICH YAENDELEA KUNG'ARA CHINI YA HEYNCKES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top