• HABARI MPYA

  Saturday, October 21, 2017

  BATSHUAYI AFUNGA MAWILI CHELSEA YAILAMBA 4-2 WATFORD

  Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Chelsea dakika ya 71 na 90 na ushei katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 12 na Cesar Azpilicueta dakika ya 87, wakati ya Watford yamefungwa na Abdoulaye Doucoure dakika ya 45 na ushei na Roberto Pereyra dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BATSHUAYI AFUNGA MAWILI CHELSEA YAILAMBA 4-2 WATFORD Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top