• HABARI MPYA

  Saturday, October 21, 2017

  AGUERO AFUNGA LA KWANZA MAN CITY YAIBAMIZA 3-0 BURNLEY

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester City kwa penalti dakika ya 30 baada ya Nick Pope kumchezea rafu Bernardo Silva wakiichapa 3-0 Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Hilo ni bao la 177 kwa Aguero Man City, maana yake ameifikia rekodi ya Eric Brook aliyoweka miaka ya 1930. Mabao mengine ya City yamefungwa na Nicolas Otamendi dakika ya 73 na Leroy Sane dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA LA KWANZA MAN CITY YAIBAMIZA 3-0 BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top