• HABARI MPYA

  Thursday, September 07, 2017

  ZAPPACOSTA AANZA KUJIFUA CHELSEA TAYARI KWA KAZI ENGLAND

  Davide Zappacosta akifanya mazoezi na Chelsea kwa mara ya kwanza jana Uwanja wa mazoezi wa timu hiyo, Cobham baada ya kujiunga na The Blues kwa dau la Pauni Milioni 23 siku ya kufunga pazia la usajili wiki iliyopita kutoka Torino ya kwao, Itali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZAPPACOSTA AANZA KUJIFUA CHELSEA TAYARI KWA KAZI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top