• HABARI MPYA

    Monday, September 18, 2017

    VIGOGO SIMBA 'WAKILA RAHA' UWANJA WA UHURU JANA

    Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' (kulia) akiwa na Wajumbe wapya wa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo, Profesa Juma Athumani Kapuya (katikati) na Abdulaziz Mohammed Mudhihir (kushoto) jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kufuatilia mchezo dhidi ya Mwadui FC ambao timu yao ilishinda 3-0 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VIGOGO SIMBA 'WAKILA RAHA' UWANJA WA UHURU JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top