• HABARI MPYA

    Sunday, September 03, 2017

    VAN NISTELROOY AFUNGA MAN UNITED YAILAZA BARCA KWA MATUTA

    Gwiji wa Manchester United, Ruud van Nistelrooy akishangiulia na Danny Webber baada ya wote kufunga katika sare ya 2-2 na Magwiji wa Barcelona jana Uwanja wa Old Trafford kabla ya wenyeji kushinda kwa penalti 5-3. Mabao ya Barca yalifungwa na Luis Garcia na Gaizka Mendieta. Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo Juni mwaka huu Uwanja wa Nou Camp Manchester United ilifungwa 3-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VAN NISTELROOY AFUNGA MAN UNITED YAILAZA BARCA KWA MATUTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top