• HABARI MPYA

    Saturday, September 09, 2017

    UZINDUZI WA 'MEDIA CENTER' YA AZAM TV LEO

    Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohammed (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ukumbi mpya wa mikutano ya Waandishi wa Habari wa klabu hiyo uliopo ndani ya Azam Complex ambao umezinduliwa leo kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Simba SC 

    Azam FC Media Center; Kutoka kulia Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Hajji Manara, Abdul Mohammed, Msemaji wa Azam, Jaffar Iddi na Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas





    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UZINDUZI WA 'MEDIA CENTER' YA AZAM TV LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top