• HABARI MPYA

    Monday, September 18, 2017

    SIMBA SC NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA UHURU


    Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwatoka wachezaji wa Mwadui katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0
    Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akipasua katikati ya mabeki wa Mwadui jana
    Kiungo Mghana wa Simba, James Kotei akitoa pasi mbele ya mchezaji wa Mwadui
    Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akimuacha chini beki wa Mwadui jana
    Mshambuliaji a Simba, Emmanuel Okwi akimtoka kiungo wa Mwadui, Razack Khalfan 
    Kiungo wa Simba, Shiza Kichuya akimtoka kiungo wa Mwadui, Razack Khalfan 
    Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mwadui, Awadh Juma 
    Kiungo wa Mwadui, Hassan Kabunda akimuacha chini mshambuliaji wa Simba, Nicholaus Gyan
    Kikosi cha Simba kilichoanza jana
    Kikosi cha Mwadui kilichoanza jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA MWADUI FC KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top