• HABARI MPYA

    Monday, September 11, 2017

    SAMATTA ALIVYOIPIGANIA KRC GENK KUPATA SARE YA UGENINI JANA

    Mshambuliaji wa Mtanzania wa KRC Genk, Mbwana Ally Samatta akimiliki mpira mbele ya beki wa na AA Gent katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A, Ubelgiji jana Uwanja wa Ghelamco-Arena mjini Gent timu hizo zikitoka sare ya 1-1
    Mbwana Samatta akipambana na mchezaji wa AA Gent jana Uwanja wa Ghelamco-Arena 
    Mbwana Samatta akipambana na mchezaji wa AA Gent jana Uwanja wa Ghelamco-Arena  
    Mbwana Samatta akimtoka beki wa AA Gent jana Uwanja wa Ghelamco-Arena 
    Mbwana Samatta akishirikiana na mwenzake kumtoa mchezaji wa AA Gent jana 
    Mbwana Samatta akishangilia na wenzake jana baada ya kusawazisha bao dakika za mwishoni kupata sare ya 1-1 ugenini
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOIPIGANIA KRC GENK KUPATA SARE YA UGENINI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top