Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuseti bao pekee la ushindi la Ureno ugenini lililofungwa na Andre Silva dakika ya 48 katika mchezo wa Kundi kufuzu Kombe la Dunia jana dhidi ya wenyeji, Hungary mjini Budapest. Hungary ilimaliza pungufu baada ya Tamas Priskin kuonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja dakika ya 30 kwa kumchezea rafu Pepe wa Ureno PICHA ZAIDI GONGA HAPA
UNESCO yafunga mafuzo ya Mafundi Mitambo wa Radio za jamii 25
-
*Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo akizungumza kuhusu
UNESCO i...
4 hours ago
0 comments:
Post a Comment